Ezra 4:9-10

9 aRehumu afisa msimamizi na mwandishi Shimshai, pamoja na wenzao, yaani mahakimu na maafisa walio juu ya watu kuanzia Tripoli, Uajemi, Ereki na Babeli, Waelami wa Shushani,

10

bna watu wengine ambao mheshimiwa Asur-Banipali
Yaani Osnapali au Asnapali kwa Kiaramu.
aliwahamisha na kuwakalisha katika mji wa Samaria na mahali pengine Ng’ambo ya Mto Frati.

Copyright information for SwhKC